Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa

Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa
kiungo : Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa

soma pia


Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.

Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.

Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.

Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.

Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.

Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.


Hivyo makala Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa

yaani makala yote Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mhe-samia-amtembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais Mhe Samia amtembelea Tundu Lissu Hospitalini alipolazwa"

Post a Comment