title : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI
kiungo : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo alimtembelea na kumjulia hali Mzee Abdulrazack Mussa Simai 'Kwacha' ambaye amelazwa MOI.
Mzee Abdulrazack Mussa Simai 'Kwacha' ni Mzee wa Chama Cha Mapinduzi lakini pia alishawahi shika nafasi mbali mbali za Uongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI"
Post a Comment