MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU

MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU
kiungo : MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU

soma pia


MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU

Mwambawahabari
Madaktari Bingwa Toka Nchi Ya China Wanatarajiwa Kuwasili Hapa Nchini Kupitia Bandari Ya Dar Es Salaam Kwa Ajil Ya Kuendesha Huduma Maalumu Ya Vipimo Pamoja Na Matibabu Kwa Wananchi Na Wakazi Wa Dar Es Salaam

Akizungumza Na Vyombo Vya Habari Hivi Leo Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Paul Makonda Amesema Kuwa Kufuatia Juhudi Zilizoonyeshwa Na Mkoa Hasa Za Upimaji Wa Afya Bure Zoez Ambalo Liliendeshwa Kwa Takriban Siku Saba Huku Mwamko Ukiwa Mkubwa Ndio Kilichopelekea Aliekua Balozi Wa China Nchini Tanzania Kuahid Kusaidiana Na Ofisi Ya Mkoa Katika Kuongeza Nguvu Zaidi Za Madaktari Bigwa Toka China Ili Waje Watoe Huduma Hiyo Ya Vipimo Pamoja Na Matibabu Bure Kwa Muda Wa Siku Saba Kuanzia Tarehe 20.11.2017 mara baada ya meli hiyo kutia nanga tarehe 19 ya mwezi huo.

Ambapo Rc Makonda ameongeza kwa kusema kuwa hiyo ni fursa nyingine kwa wananchi na wakazi wote wa Dar es salaam kujitokeza kwa wingi ili waweze kupewa huduma hiyo hasa kwa wale wenye magonjwa kama kisukari,figo moyo,presha nk. wote kwa pamoja kufika kwa wingi katika eneo ambalo limetengwa maalumu kwa ajili ya uchunguzi na matibabu hayo ambayo yatafanyika ndani ya meli katika eneo la bandarin jijini hapo.

Akitaja idadi ya wagonjwa kwa siku ambao watatibiwa na kupewa vipimo Rc Makonda amesema wagonjwa wapatao 600 kwa kila siku ndio watakao kuwa wakihudumiwa,sambamba na hayo wagonjwa wote ambao watapimwa na kugundulika na magonjwa basi watapewa huduma hapohapo kwenye eneo la kutolea huduma lililopo ndani ya meli hiyo,


Hivyo makala MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU

yaani makala yote MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/madaktari-bingwa-kutoka-china-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA KUTOA HUDUMA YA AFYA BURE WANATAQRAJIWA KUWASILI NA MELI KUBWA, MAKONDA ASEMA WAGONJWA 600 WATAHUDUMIWA KILA SIKU"

Post a Comment