LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE

LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE
kiungo : LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE

soma pia


LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amemtembelea Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Nyalandu aliyejiondoa CCM wiki iliyopita leo Jumanne Novemba 7,2017 amemshukuru Lowassa kwa kuonyesha njia kwa wengine kuwa kuna maisha nje ya CCM.

“Mzee wangu nimekuja kujitambulisha na kusema asante kutufungulia mlango,” amesema Nyalandu katika taarifa iliyotolewa na ofisi ya Lowassa.

Kwa upande wake, Lowassa aliyetoka CCM mwaka 2015 amemkaribisha Nyalandu upinzani akisema, “Nimefarijika kuja huku karibu sana tushirikiane na kwa hakika 2020 tutavuka daraja.


Hivyo makala LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE

yaani makala yote LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/lazaro-nyalandu-amtembelea-lowassa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LAZARO NYALANDU AMTEMBELEA LOWASSA OFISINI KWAKE"

Post a Comment