title : Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa.
kiungo : Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa.
Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa.
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kozi ya makocha wa Mpira wa Miguu ngazi ya awali imefungwa leo Ijumaaa Novemba 3, 2017 saa 3.00 asubuhi kwenye Ukumbi wa ZFA Wilaya Magharibi B uliopo Mwanakwerekwe Ijitimai.
Katibu Mkuu wa ZFA Wilaya ya Magaharibi B Omar Abuu amewataka makocha
29 waliyomaliza kozi hiyo kufundisha soka kwa uzalendo na si kuvikomo vilabu kwani mafanikio ya makocha hayaji kwa haraka.
Awali, Mkufunzi wa kozi hiyo anaetambuliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Nassra Juma amewapongeza Makocha hao huku akiwashukuru pia ZFA kwa kuandaa kozi hiyo.
Hivyo makala Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa.
yaani makala yote Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kozi-ya-makocha-zfa-wilaya-ya-magharibi.html
0 Response to "Kozi ya Makocha ZFA Wilaya ya Magharibi B Unguja Yafungwa."
Post a Comment