Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam.

Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa Kongamamo la Wasomi Wanataaluma wa Kikristo liitwalo Tanzania for Jesus Prayer Movement ambalo mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus,  Ephrahim Mwambapa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Kanisa la Abundant Bressing Center (ABC), Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam, kuhusu kongamano hilo litakalofanyika Hoteli ya Landmark siku ya Jumamosi. Kulia ni Katibu Mkuu  wa Kongamano hilo, Lendian Bigoli.

Mratibu wa Kongamano hilo, Ephrahim Mwambapa akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Kushoto ni Kiongzi Mkuu wa Kanisa la Abundant Bressing Center nchini, Askofu Flaston Ndabila.

Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini kesho wanatarajia kufanya kongamono kubwa la kihistoria kujadili namna watakavyoweza kutumia taaluma zao kusaidia jamii, kanisa na taifa kwa ujumla.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mratibu wa Kongamamo hilo, Ephrahim Mwambapa alisema kongamanao hilo linaundwa na muungano wa wasomi wa kristo uitwao Tanzania for Jesus Prayer Movement ambao mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus.

Alisema licha ya muungano huo kuundwa na vijana wa kikristo lakini vijana wote wasomi kutoka katika vyuo na shule za sekondari na madhehebu mbalimbali wanaalikwa ili kuchangia mada zitakazo jadiliwa na mgeni rasmi atakuwa ni Kiongzi Mkuu wa Kanisa la Abundant Bressing Center nchini, Askofu Flaston Ndabila.

Mwambapa alisema kuwa katika kongamano hilo kutakuwepo na mada mbalimbali na kuona ni jinsi gani kila mmoja na taaluma yake ataweza kusaidia jamii badala ya taaluma hiyo kuachwa bila ya kuifanyia kazi.

"Tunapokuwa vyuoni tunakuwa na mipango mingi ya maendeleo lakini baada ya kumaliza masomo kila mtu anakuwa kivyake wakati tunapaswa kushirikiana na jamii na ndio maana tumeona ni vizurio kuazisha muungano huu lengo likiwa kujumuika na jamii katika shughuli za maendeleo ya nchi na dini" alisema Mwambapa.

Alisema wazo la kuanzisha muungano huo nimatunda ya mkutano ya mkutano mkuu wa kitaifa wa kuliombea taifa ulioratibiwa na Askofu Flaston Ndabila na kuhudhuriwa na watu mbalimbali na vijana kutoka vyuo vikuu uliofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mwambapa alisema kongamano hilo litahudhuriwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali,sekondari baadhi wa viongozi.





Hivyo makala Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kongamano-la-wasomi-wanataaluma_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment