KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.
kiungo : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.

soma pia


KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.

 Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika kikao kilichofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. James Kibamba(kulia) akiwasilisha mapendekezo ya marekebisho ya Muundo wa Utumishi wa Idara ya Ustawi wa Jamii uliopitiwa na kujadiliwa na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
 Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Deodatha Makani (kushoto) akifafanua masuala ya Kiutawala kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.
 Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (kulia) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.

yaani makala yote KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO."

Post a Comment