KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200
kiungo : KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

soma pia


KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

Madawati mia mbili ambayo yametolewa na kampuni ya Blue coast Investment iliyopo Mkoani Geita kwa lengo la kusaidia mahitaji ya elimu.
Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akimshukuru mkurugenzi wa kampuni
ya Blue coast Investment ,Bw Athanas Inyasi ambaye yupo katika kwa kujitolea yeye na kampuni yake kutoa madawati kwenye halmashauri ya mji na wa kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Geita,Leornad Kiganga Bugomola. 
mkurugenzi wa kampuni ya Blue coast Investment ,Bw Athanas Inyasi akimkabidhi mkuu wa Wilaya madawati mia mbili ambayo ameyatoa. 
Mkuu wa Wilaya ya Geita.,Mwl Herman Kapufi akipokea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita,wakati wa zoezi la kukabidhiwa madawati mia mbili.(PICHA NA JOEL MADUKA) .



Hivyo makala KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

yaani makala yote KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kampuni-ya-blue-coast-investment.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200"

Post a Comment