title : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI
kiungo : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI
IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza mmoja kati ya madaktali wa hospitali ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya Kilwa, wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani, vifaa vyenye thamani ya shilingi za Kitanzania bilioni mbili, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu.
Mkuu wa kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi (SACP) Paul Kasabago (kushoto), akitoa neno la shukurani wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika katika hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya matibabu.
Baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani na kukabidhiwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika katika hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya matibabu.
Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI
yaani makala yote IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/igp-sirro-apokea-msaada-wa-vifaa-tiba.html
0 Response to "IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI"
Post a Comment