Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi

Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi
kiungo : Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi

soma pia


Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi

Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi
MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameagwa kwa maombi na baba mzazi wa aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana,….. na kushukuru kwa baraka hizo jambo lililovuta na kuteka hisia za watu wengi.
Katika maombi hayo mafupi, baba mzazi wa marehemu Ndikumana alimtakia safari njema Uwoya ikiwa ni pamoja na baraka tele kwake na mwanaye, Krish ambapo Uwoya aliahidi kushirikiana na familia hiyo kila atakapohitajika kwani tayari ni sehemu yao.

Baba mzazi wa aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana akimfanyia mambi Irene Uwoya.
“Nenda na baraka zote na hakika nakupa baraka zangu zote wewe na mjukuu wangu Krish na tambua kwamba tunakupenda sana,” alisema baba mkwe wa Uwoya katika maombi hayo mafupi.
“Nawashukuru sana jamani na hakika Mungu awabariki, asante sana Burundi na Mungu awabariki,” alisema Uwoya.
Aliyoyasema kupitia akaunti yake ya Instagram
Asante baba kwa baraka zako …nashukuru mmenipokea vzuri na baraka juuu…MUNGU akubariki sanaaa…tutaonana tena nawapenda sana Mbaki salama…MUNGU ni mwema!!!asante Burundi…


Hivyo makala Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi

yaani makala yote Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/irene-uwoya-aondoka-na-baraka-zote.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Irene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Aagwa kwa Maombi"

Post a Comment