title : Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,
kiungo : Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,
Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali, sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba, ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09 /11/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB unaoongozwa na Mkurugenzi Masoko Nd,Tully Esther Mwambapa (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09 /11/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao, [Picha na Ikulu.] 09 /11/2017.
Hivyo makala Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,
yaani makala yote Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/dkshein-akutana-na-ujumbe-wa-benki-ya.html
0 Response to "Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,"
Post a Comment