DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI

DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI
kiungo : DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI

soma pia


DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi na Utalii nchini. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter (kushoto) ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi na Utalii nchini. 
Picha ya pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter (katikati) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi na Utalii nchini.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa China nchini, Bi. Wang Ke ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo amemuomba kushirikiana na Wizara yake kuweka mkakati wa pamoja wa kuongeza idadi watalii na wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akipokea zawadi ya taswira la Ua la Taifa la China kutoka kwa Balozi wa nchi hiyo nchini, Bi. Wang Ke ofisini kwake mjini Dodoma leo. Amemuomba balozi huyo kushirikiana na Wizara yake kuweka mkakati wa pamoja wa kuongeza idadi watalii na wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Balozi wa China nchini, Bi. Wang Ke alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo amemuomba kushirikiana na Wizara yake kuweka mkakati wa pamoja wa kuongeza idadi watalii na wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China.  (Picha na Hamza Temba - Wizara ya Maliasili na Utalii).


Hivyo makala DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI

yaani makala yote DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/dk-kigwangalla-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI"

Post a Comment