title : CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017
kiungo : CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017
CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017
Umoja wa Mataifa kupitia Umoja wa Vijana (YUNA) umetoa tuzo kwa Taasisi na watu binafsi wenye mchango mkubwa katika maisha ya watu barani Afrika.Kupitia tuzo hizo zinazotambulika kama PAHA, kituo cha Televisheni cha Clouds kimetambuliwa kama kituo bora cha Runinga kwa mwaka 201
7.
Hiyo ni kutokana na kurusha maudhui yanayomulika maisha ya watu na kutoa tumaini kwao kupitia vipindi na kampeni mbalimbali kama vile...
(#IshiNaMimi #Kipepeo #MalkiaWaNguvu #RudishaTabasamuMiaMoyo na nyinginezo).
Baada ya kupokea tuzo hiyo ya heshima Kampuni ya Clouds Media Group imeishukuru YUNA pamoja na umoja na umoja wa mataifa kutokana na Utambuzi huo.
Sambamba na hilo Clouds Tv imewashukuru Watanzania Kwa kuendelea Kuwaamini na Kuwachagua." Tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa moyo na nguvu zaidi kwani tulishakula kiapo cha kuwa Taasisi ya watu" sehemu ya taarifa hiyo ilieleza.
(#RedioYaWatu #ThePeoplesStation).
#TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka
Hivyo makala CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017
yaani makala yote CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/clouds-tv-yapewa-tuzo-ya-kituo-bora-cha.html
0 Response to "CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017"
Post a Comment