CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA
kiungo : CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

soma pia


CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekipiga marufuku Chuo Kikuu Ardhi kukodi makampuni ya kufanya kazi mbalimbali kwa niaba yake.

Amesema kitendo hicho kinaharibu kazi na sifa ya chuo hicho kwa kuwa baadhi ya makampuni wanayoyapa kazi hayakidhi vigezo.Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Novemba 23, 2017) kwenye ufunguzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo Kikuu Ardhi.

“Kama kuna umuhimu wa kufanya kazi na kampuni ni bora muanzishe kampuni ya kwenu itakayofanya kazi vizuri ili kujiepusha na matatizo.”Pia Waziri Mkuu amekiagiza chuo hicho kufanya tafiti zenye kuleta majibu ya maswali na changamoto mbalimbali zinazolikabili Taifa na Dunia.

Ametaja baadhi ya changamoto hizo kuwa ni mabadiliko ya tabia nchi, ujenzi holela, uharibifu wa mazingira na majanga ya asili kama mafuriko.Amesema Serikali inaamini kuwa matokeo ya kazi zinazofanywa na chuo hicho zikiwemo tafiti ni chachu ya maendeleo ya taasisi za elimu ya juu.



Hivyo makala CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

yaani makala yote CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/chuo-kikuu-ardhi-marufuku-kukodi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA"

Post a Comment