CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC

CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC
kiungo : CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC

soma pia


CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimepokea kwa mshituko na huzuni mkubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Marehemu Maridadi Aman kilichotokea jana katika Hospitali ya Tasakhtaa Grobal, Vuga Zanzibar.

Kutokana na msiba huo mzito kwa Tasnia ya Habari nchini, CCM Zanzibar inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa marehemu enzi za uhai wake alikuwa mstari wa mbele katika kutangaza taarifa za Chama Chetu kwa jamii.

Tunaamini kwamba juhudu, maarifa na busara za marehemu Maridadi zitabaki kama kumbukumbu na muongozo wa kuongeza hamasa ya kujituma kiutendaji kwa Wanahabari wote nchini.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi anawapa pole Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Wanahabari wote, ndugu wa familia pamoja na walioguzwa na msiba huo.

Mpendwa wetu ametangulia mbele ya Haki , ataendelea kubaki katika kumbukumbu zetu daima na tunamuomba Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi Amin.

Imetolewa na:-

NDG.WARIDE BAKAR JABU

KATIBU WA KAMATI MAALUM WA NEC,
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI CCM -ZANZIBAR,
20, NOVEMBA 2017.


Hivyo makala CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC

yaani makala yote CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ccm-zbar-yatuma-salamu-za-rambi-rambi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC"

Post a Comment