title : Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano
kiungo : Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano
Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano
Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania (kulia) akimkabidhi kitabu kinachoonyesha vivutio tulivyonavyo Tanzania bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini (kushoto) baada ya kupima uzito tayari kwa kushiriki katika pambano la kimataifa la ngumi litakalofanyika kesho katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Mabondia Ibrahim Maukola (kushoto) na Ibrahim Tamba (kulia) wakionyesha uwezo wao baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuonyesha pambano la ngumi kati yao kabla ya pambano la kimataifa kati ya Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini litakalofanyika kesho katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Yusuph Singo (kulia) akizungumza wakati wa kuwapima uzita mabodia Ibrahimu Class wa Tanzania na Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini wanaotarajia kupambana kesho katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Hivyo makala Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano
yaani makala yote Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/bondia-ibrahimu-class-wa-tanzania-na.html
0 Response to "Bondia Ibrahimu Class wa Tanzania na Bondia Koo’s Sebiya wa Afrika ya Kusini Wapima Uzito Tayari kwa Pambano"
Post a Comment