title : Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho
kiungo : Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 14 Novemba 2017, katika Ikulu ya nchi hiyo.
Mhe. Balozi Chana akizungumza na Mhe. Rais Faure ambapo Serikali ya Jamhuri ya Shelisheli imemuhakikishia kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.
Mhe. Balozi Chana akiwasili katika Ikulu ya Jamhuri ya Shelisheli.
Hivyo makala Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho
yaani makala yote Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-tanzania-nchini-shelisheli.html
0 Response to "Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho"
Post a Comment