BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI

BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI
kiungo : BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI

soma pia


BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI

Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida,  Novemba 21, 2017 alitembelea Ofisi za Wizara ya Madini za jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Waziri wa Madini, Angellah Kairuki na Naibu wake, Stanslaus Nyongo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo fursa za uwekezaji kwenye Sekta ya Madini nchini. 

 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo pichani) alipotembelea Ofisi za Wizara ya Madini za Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.



Hivyo makala BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI

yaani makala yote BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-japan-atembelea-wizara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI"

Post a Comment