AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA

AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA
kiungo : AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA

soma pia


AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA


Shirika la Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI limetoa warsha kwa Waviu Washauri kutoka mkoa wa Mwanza ili kuwajengea uwezo kwa ajili ya kuboresha huduma katika vituo vya tiba na matunzo (CTC).

Warsha hiyo ya siku tatu iliyoanza siku ya Jumanne Novemba 28,2017 katika ukumbi wa JB Belmont Hotel jijini Mwanza imekutanisha WAVIU washauri kutoka halmashauri za wilaya za Ilemela,Kwimba,Magu,Buchosa,Misungwi,Sengerema na Nyamagana.

Waviu washauri ni watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi na wamejiweka wazi na huru kuwashauri watu wanaoishi na VVU katika nyanja mbalimbali ikiwemo ufuasi mzuri wa dawa, kutoa ushauri nasaha kwa wenzao,kujitolea kufuatilia na kufundisha kwa njia ya ushuhuda wa maisha sambamba na kuhamasisha Waviu kujiunga katika vikundi ili kusaidiana na kupunguza unyanyapaa.
Mgeni rasmi, Mratibu wa watoa huduma ngazi ya jamii mkoa wa Mwanza, Bi. Esperance Makuza,aliyemwakilisha Mratibu wa Ukimwi mkoa wa Mwanza akifungua warsha ya siku tatu ya watu wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi mkoa wa Mwanza katika ukumbi wa JB Belmont Hotel jijini Mwanza Jumanne Novemba 28,2017. 
Afisa Miradi Huduma Unganishi kwa jamii AGPAHI mkoa wa Mwanza, Cecilia Yona akielezea historia ya shirika la AGPAHI na shughuli zinazofanywa na shirika hilo nchini Tanzania. 
Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada iliyokuwa inatolewa. 
Mwezeshaji Gladness Olotu akiendelea kutoa mada ukumbini.



Hivyo makala AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA

yaani makala yote AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/agpahi-yaendesha-warsha-kwa-waviu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI MKOA WA MWANZA"

Post a Comment