title : WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA
kiungo : WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA
WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA
Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) Dk,Sultan akizungumza machache kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha wakati walipokutana nakufanya mazungumzo katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.madaktari hao watakuwepo kisiwani Pemba kutoa matibabu mbalimbali ikiwemo matatizo ya akina mama na mifupa kwa siku 10.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY)kuhusiana na matibabu watakayoyaendeshaKisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipokea Zawadi ya Sahani baada ya kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha Kisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANIZBAR.
Hivyo makala WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA
yaani makala yote WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-wa-afya-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA MADAKTARI BINGWA"
Post a Comment