WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI

WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI
kiungo : WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI

soma pia


WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb.) akizungumza na Balozi wa India nchini, Mhe. Sandeep Arya kuhusu kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya biashara, viwanda na uwekezaji kati ya Tanzania na India. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Oktoba, 2017. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.), Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Bw. Magabilo Murobi (hawapo pichani). 
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima (wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Bw. Magabilo Murobi (wa kwanza kulia) wakati wa mazungumzo kati ya Mhe. Mwijage na Balozi wa India nchini (hawapo pichani). 
Mhe. Dkt. Kolimba akichangia jambo wakati wa mazungumzo kati ya Waziri Mwijage na Balozi Arya. 
Mazungumzo yakiendelea 


Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI

yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-mwijage-akutana-kwa-mazungumzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA NCHINI"

Post a Comment