title : WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI
kiungo : WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI
WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI
Mwambawahabari
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Oktoba 16, 2017) kuelekea nchini Canada kwa shughuli za kikazi.
Akiwa nchini Canada Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali za kipaumbele.
Aidha, nchi ya Canada ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATATU, OKTOBA 16, 2017.
Hivyo makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI
yaani makala yote WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-mkuu-aenda-nchini-canada-kwa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI"
Post a Comment