WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI

WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI
kiungo : WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI

soma pia


WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI

Promosheni ya ‘Mchongo chini ya kizibo’iliyozinduliwa na Coca-Cola mkoani Mwanza wiki iliyopita imeanza kuibua washindi ambapo wakazi wawili wa jijini Mwanza wamejishindia Televisheni na wengine 2 kujishindia fedha taslimu shilingi 100,000/-kila mmoja wao. 
Promosheni hii inahusisha vinywaji vya Coca-Cola, Fanta, Sprite, Tangawizi, Sparleta na Novida na inafanyika mkoani Mwanza na mikoa mingine ya kanda ya ziwa ikiwemo mikoa jirani yake ya Shinyanga na Kigoma na itawawezesha wateja kujishindia zawadi nono za fedha taslimu zaidi ya milioni 400,bodabado 100,televisheni 60 aina ya SONY LED zenye inchi 32,T-shirts , kofia na soda za bure. Akiongea katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi jijini Mwanza, Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Nyanza Bottlers, Japhet Kisusi,alisema lengo la promosheni hii kubwa ni kuwazawadia na kuwashukuru wateja wanaotumia bidhaa za kampuni 
“Tumewaletea promosheni hii kwa ajili ya kuwashukuru wateja wetu wote wanaotumia bidhaa zetu kama mnavyoona leo washindi wa promosheni hii wamekabidhiwa zawadi zao,natoa wito kwa wananchi kuzidi kuichangamkia ili kujishindia zawadi kwa kuwa bado kuna zawadi nyingi za kushinda”alisema Kisusi. 
Mmoja wa washindi wa TV,Fred Charles mkazi wa kitongoji cha Buzuruga akiongea kwa furaha alisema kuwa hakuamini macho yake baada ya kunywa soda ya Coca-Cola na kukuta ina kizibo cha zawadi ya TV “Kilichonifurahisha zaidi ni jinsi ambavyo nimeweza kukabidhiwa zawadi yangu kwa haraka,natoa wito kwa wakazi wa Mwanza tuchangamkie promosheni hii tuweze kujishindia zawadi kama nilivyoshinda mimi”alisema. 
Naye Rashid Mlobelo mkazi wa kitongoji cha Nyegezi jijini Mwanza alisema amefurahishwa na zawadi aliyoipata kupitia promosheni ya ‘Mchongo chini ya kizibo’ alisema kuwa fedha alizozipata zitamsaidia kununua mahitaji mbalimbali Washindi wengine waliokabidhiwa zawadi ni Davis Gombanila aliyejishindia TV na Abdul Khalfan aliyejishia shilingi 100,000/-
Mshindi wa kitita cha 100,000/-Abdul Khalfan (kulia) akipokea fedha zake kutoka kwa Meneja wa Masoko na Mauzo wa Coca-Cola,Mwanza,Samwel Makenge
Washindi wa promosheni ya Mchongo chini ya kizibo wakiwa na zawadi zao baada ya kukabidhiwa jijini Mwanza jana.
Mshindi wa Televisheni, Fred Charles akipokea zawadi aliyojishindia kutoka kwa Meneja wa Masoko na Mauzo wa Coca-Cola, Mwanza-Samwel Makenge
.Mshindi Davis Gombanila akikabidhiwa zawadi ya televisheni
Mshindi Rashid Mlobelo akikabidhiwa kitita cha shilingi 100,000/-alizojishindia


Hivyo makala WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI

yaani makala yote WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/washindi-wa-promosheni-ya-coca-cola.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI"

Post a Comment