WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI

WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI
kiungo : WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI

soma pia


WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI

WAKAZI wa Manispaa ya Dodoma wameshauriwa kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Madiwani ili kupata taarifa za miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa yao na kujua kazi inayofanywa na Madiwani waliowachagua.

Wito huo umetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma Jumanne Ngede kuelekea Mkutano wa Baraza hilo wa kisheria kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/18  utakaopokea taarifa mbalimbali za Manispaa hiyo kitakachonyika Oktoba 31 mwaka huu katika ukumbi wa Manispaa. Naibu Meya Ngede alitoa wito huo wakati alipoongoza Mkutano wa awali wa Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo lililopokea taarifa za utekelezaji wa miradi kutoka katika Kata zote 41 za Manispaa ya Dodoma Oktoba 25 mwaka huu.

Aliiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuongeza matangazo kwa wananchi kuhusu tarehe ya Mkutano huo ili waweze kuhudhuria kutokana na umuhimu wa mkutano huo ambao ni wa wazi.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (kushoto) akizungumza wakati wa Mkutano wa awali wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo Oktoba 25 mwaka huu. Katika ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Jumanne Ngede na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Emmanuel Kuboja.


Hivyo makala WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI

yaani makala yote WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/wananchi-manispaa-ya-dodoma-waitwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI MANISPAA YA DODOMA WAITWA KUHUDHURIA MIKUTANO YA BARAZA LA HALMASHAURI"

Post a Comment