WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO

WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO
kiungo : WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO

soma pia


WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO

Mwambawahabari

hqdefault
Wanachama wa timu ya Yanga wakiwakilishwa na mwenyekiti na katibu wa matawi kutoka jijini Dar es salaam wameafikiana kuchangia klabu yao ili kutunisha mfuko wa kuiletea maendeleo klabu yao.
Katika kikao kilichokaliwa Jumamosi makao makuu ya klabu mtaa wa Twiga na Jangwani kikiongozwa na Makamu mwenyekiti, Clement Sanga, wanachama hao waliafikiana kutoa fedha kwa ajili ya kukarabati uwanja wa Kaunda ili utumike kwa mazoezi ya wachezaji wake.
Wanachama hao wana hitaji kikosi cha Yanga kifanye mazoezi kwenye uwanja wake wa Kaenda ili kuepuka gharama kubwa ya kukodi kiwanja.
Moja kati ya mambo waliyokubaliana ni kwenda kuhamasisha wanachama wenzao kuchangia upatikanaji wa kifusi ili zoezi la ukarabati wa pichi ya mazoezi uanze haraka iwezekanavyo na hadi kufikia msimu ujao kiwe kimekamilika.
Lakini wanachama hao waliokuwepo kwenye mkutano walipeleka ujumbe wa kuonyesha wapo pamoja na uongozi katika kupigania timu yao na uongozi katika kupigania timu yao inayotetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na misukosuko mingi ya kiuchumi waliyokumbana nayo.
Yanga inatarajia kucheza na Kagera Sugar mchezo ujao wa Ligi Kuu bara ambapo mpaka hivi sasa wamecheza jumla ya mechi 5 huku wakishinda mbili na kupata sare katika michezo yake mitatu.


Hivyo makala WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO

yaani makala yote WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/wanachama-yanga-kuchangia-mfuko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO"

Post a Comment