Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana.

Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana.
kiungo : Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana.

soma pia


Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana.

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Baada ya kukaa gerezani kwa siku tano, leo vigogo wawili wa zamani wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wameachiwa huru baada ya kukamilisha masharti ya dhamana waliyopewa ma Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Washtakiwa hao ambao wametimiza masharti ya na kuachiwa kwa Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba ni, Kaimu Mtendaji wa (TIA), Shaha Hanzuruni na Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Onesphor Luhungu wa Hakimu Mkazi Mkuu, 

Katika masharti yao ya dhamana kila mshtakiwa alitakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao kila mmoja atasaini bondi ya milioni 250 na pia mdhamini mmoja kati ya wadhamini hao kuwasilisha fedha taslimu mahakamani Sh 250 milioni ama hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya kiasi hicho cha fedha na kwamba mali hiyo ni lazima iwepo Dar es Salaam.

Mbali na hayo kila mshtakiwa alitakiwa kusalimisha pasi yake ya kusafiria mahakamani na wasitoke nje ya jiji la Dar es Salaam bila ya kuwa na kibali cha Mahakama.

Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 24,2017 ambapo washtakiwa hao watasomewa maelezo ya awali (PH).Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya Sh 1, 097,681,107.



Hivyo makala Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana.

yaani makala yote Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/vigogo-wa-chuo-cha-uhasibu-tia-wapata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vigogo wa chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana."

Post a Comment