title : uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie
kiungo : uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie
uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie
WASANII walioalikwa kukaganya zulia jekundu kwenye uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie' tayari wameufanya uzinduzi huo kuwa wa ainayake kutokana na kuzungumzia sana katika mitandao kupitia akaunti zao za Facebook, Twitter na istagram.
Mmoja ya wasanii waalikwa katika uzinduzi huo,Gabo Zigamba ameweza kupata 'like 'nyingi zinazoonyesha kuwa mwamko wa ujio wa uzinduzi huo ni mkubwa malala baada ya kuweka kava la filamu ya 'Mammu ' katika akaunti yake ya Istagram.
"Mambo yanaonekana kwenda vema kwani mashabiki wangu wanaisubiria siku ya uzinduzi wangu wa filamu kwa hamu kubwa,"alisema Rakheem.
Alisema uzinduzi nduzi huo utafanyika Otoba 13 katika ukumbi maarufu wa King Hotel iliyopo Sinza maeneo ya Africasana jijini Dar es Salaam na shughuli za uzinduzi zitaanza kuanzia saa 01:00 usiku.
Rakheem Aliwataja wasanii wengine waalikwa licha Gabo kuwa ni Mzee Chilo na mama Monalisa 'Natasha Huba'.
Nyota huyo ambaye tayari ni mwenye umaarufu awali amewahi kufanya vema katika filamu kama iliyoitwa kibajaj iliyoshirikisha nyota wengine kama Mboto, Irene Poul pamoja na nyingine iliyoitwa 'Mama Ntilie 'iliyoshirikisha nyota kama Gabon king Majuto pamoja na Irene.
Rakheem kwa hivi sasa anafanya kweli katika tamthiliya ya Duty inayooneshwa kupitia Star Tv kila siku za jumatano saa 01:00 usiku.
Sehemu ya scene za kusisimu katika filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie
Hivyo makala uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie
yaani makala yote uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/uzinduzi-wa-filamu-ya-mammu-ya-msanii.html
0 Response to "uzinduzi wa filamu ya 'Mammu' ya msanii Rakheem David 'Kuchie"
Post a Comment