USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA

USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA
kiungo : USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA

soma pia


USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA

Usajili Vitambulisho vya Taifa katika mkoa wa Mwanza na wilaya zake umepamba moto, ambapo wananchi kutoka Wilaya za Kwimba, Ukerewe, Ilemela, Misungwi na Sengerema wamejitokeza kwa wingi kusajili. Kwa wananchi wa Wilaya Nyamagana, taratibu za kuanza kwa Usajili zinaendelea ambapo wataanza usajili rasmi wiki hii. 

Katika kufanikisha zoezi hilo Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa pamoja na Watendaji wa mitaa/Vijiji wamejizatiti kwa dhati kuhakikisha zoezi hili linafanyika na kukamilika kwa wakati uliopangwa. Aidha; Wamewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kusajiliwa kutokana na manufaa mapana ya zoezi hilo kwa mwananchi mmoja mmoja na kwa Taifa kwa ujumla.
Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa Wilayani ya Ukerewe likiendelea, pichani ni baadhi ya wananchi wa kata ya Kakelege wakisubiri zoezi la kupigwa picha na kuchukuliwa alama za Kibaiolojia.
Afisa Usajili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Ndg. Zabron Rusohoka akiwaelekeza baadhi ya wananchi taratibu wanazopaswa kuzifuata wakati wa ujazaji fomu za maombi ya Wilayani Ukerewe.
Umati wa wananchi wa Kata ya Ukerewe kijiji cha Nakatunguru wakisubiri huduma ya Usajili wakati zoezi la Usajili likiendelea Wilayani humo. 



Hivyo makala USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA

yaani makala yote USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/usajili-mwanza-wananchi-wajitokeza-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA"

Post a Comment