title : UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE
kiungo : UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE
UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Ndugu Alvaro Rodriguez mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwenye sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum katika sherehe ya Siku ya Umoja wa Mataifa ambapo Umoja huo umetimiza miaka 72 tangu kuanzishwa kwake na sherehe hizo zilifanyika kwenye viwanja vya Karimjee kwenye sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye sherehe ya siku ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Hivyo makala UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE
yaani makala yote UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/un-yasheherekea-miaka-72-tangu.html
0 Response to "UN YASHEHEREKEA MIAKA 72 TANGU KUANZISHWA KWAKE"
Post a Comment