UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA.kiungo :
UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA.
UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA.
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa inafanyikia Mkoani Humo akizungumza na wananchi kwenye viwanja vya CCM Kalangalala wakati wa uzinduzi. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya usalama wa chakula kwenye wizara hiyo Bi Josephine Amulo wakati alipowasili kwenye viwanja vya ccm kalangalala. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga,akipatiwa maelezo na mtaalum kutoka kwa wakala wa usambazaji wa mbegu wakati alipotembelea Banda hilo. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye moja kati ya mabanda ambayo yanahusika na uuzaji wa mbegu bora za kilimo. |
 |
Afisa uhusiano wa Tanesco Mkoa wa Geita Emma Nyaki akimuelezea kamanda wa jeshi la zima moto Mkoani Geita wakati alipotembelea banda ilo kwaajili ya kuona shughuli na utendaji kazi wa shirika la Tanesco Mkoani Humo. |
 |
Baadhi ya viongozi wa Wilaya wakitazama namna ambavyo jiko la kupikia la umeme linavyoweza kutumia umeme mdogo zaidi. |
 |
Afisa wa Tanesco Makao makuu Bi,Jennifer Mgendi akimuelezea Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga namna ambavyo wameendelea kutoa huduma kwa wananchi wakati alipo tembelea banda h la shirika hilo. |
 |
Mgeni Rasmi akipewa maelekezo ya namna ya kutumia kifaa endapo kama mteja akawa na nyumba ndogo. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la TFDA. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la dawa zinazotokana na miti. |
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya usalama wa chakula kwenye wizara hiyo Bi Josephine Amulo akielezea umuhimu wa siku hiyo.
 |
Mgeni Rasmi akimsikiliza kwa Makini Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya usalama wa chakula kwenye wizara hiyo Bi Josephine Amulo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi. |
 |
Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya kalangalala wakifuatilia maadhimisho. |
 |
Brother K wa kikundi cha sanaa cha Futuhi akionesha makeke yake. |
|
|
PICHA NA JOEL MADUKA
Hivyo makala UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA.
yaani makala yote UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ukataji-miti-na-uchomaji-mistu-ni.html
0 Response to "UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA."
Post a Comment