title : Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu
kiungo : Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu
Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi akifuatana na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi wa pili kulia) akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017.
Hivyo makala Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu
yaani makala yote Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ujumbe-wa-serikali-ya-oman-wakutana-na.html
0 Response to "Ujumbe wa Serikali ya Oman wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu"
Post a Comment