Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15

Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15
kiungo : Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15

soma pia


Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefanywa upasuaji mara 14 na ataendelea kufanyiwa upasuaji mwingine wa  15  ndani ya wiki mbili zijazo.

Mbowe amesema hayo jana kwenye mazishi ya marehemu Philip Gekul, baba mzazi wa Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul yaliyofanyika kata ya Dareda.

Alisema hali ya Lissu inaendelea kuimarika lakini aliumizwa sana kama walivyokuwa wanaeleza mara zote lakini na jambo la kumshukuru Mungu kwamba ameendelea kuimarika.

"Ameendelea kupata afya, akili zake ni timamu, madaktari kule wanafanya kazi kubwa kwelikweli kuendelea kumuudumia na ni matumaini yetu kuwa baada ya muda Mungu atamrejesha katika wajibu wake wa kulitumikia Taifa,"

Mbowe alizungumza hayo baada ya kueleza kuwa alitokea Nairobi kuangalia afya ya mbunge huyo ambaye alipigwa risasi Septemba 7 mwaka huu akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma.


Hivyo makala Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15

yaani makala yote Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tundu-lissu-kufanyiwa-upasuaji-wa-15_8.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa 15"

Post a Comment