title : TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA
kiungo : TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA
TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA
Familia ya Kamwela ya Katengele, Ileje, mkoani Mbeya inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Clinton Alex Kamwela kilichotokea jana Jumapili saa mbili Usiku Iwambi, Mbeya. Mipango ya mazishi inafanyika hapo hapo nyumbani kwa Bw. Ernest Kamwela. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Jumanne Oktoba 2, 2017 huko Katengele, Ileje. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirano popote walipo.
Hivyo makala TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA
yaani makala yote TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tanzia-tangazo-la-kifo-cha-clinton-alex.html
0 Response to "TANZIA: TANGAZO LA KIFO CHA CLINTON ALEX KAMWELA"
Post a Comment