TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA

TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA
kiungo : TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA

soma pia


TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA

Na Humphrey Shao Globu ya Jamii

TANZANIA imetajwa kuwa ni nchi ya kwanza barani afrika katika mapambano dhidi ya ukatili watoto kulinganisha na mataifa mengine.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa shirika la Kimataifa linaloshughulikia haki za watoto, Elimu na Ushauri, Michael Gibbons alipokuwa akitoa mada katika mkutano wa kujadili masuala ya ukatili kwa watoto na Wanawake uliofanyika jijini Dar es Salaam Leo.

Gibbons amesema Tanzania ndio nchi pekee Afrika iliyoweka nguvu kubwa katika mapambano ya ukatili wa mtoto pamoja na kuweka mazingira wezeshi ya elimu kutokana na sera yake ya Elimu Bure.

Akizungumza kwa Niaba ya Waziri wa afya jinsia Wanawake na Watoto, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto, Magreth Mussai amesema Serikali inatumia takribani Bilioni 6.7 kutibu naa kushughulikia matokeo ya ukatili.

“katika kulinda watoto baada ya matukio ukatili kutokea Taifa linatumia Bilioni 6.7 kwa ajili ya kushughulikia Mahakamani, Matibabu na hatua zote anazostaili mtoto na Wanawake baada ya ukatili kutokea.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Haki Elimu nchini John Kalaghe amesema asilimia 52.6% ya vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watoto hutokea mashuleni jambo ambali limekuwa likipigiwa kelele na wazazi wengi.

Kalaghe amesema ukatili wa watoto ni moja ya jambo ambalo linasumbua katika ukanda huu wa Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na kutaja watoto wa kike na wakiume hapa nchini upitia ukatili wa kupigwa mashuleni kwa asilimia 52.6 %.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Haki Elimu,John Kalaghe akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili Masuala ya haki za Watoto na Wanawake katika ukanda Afrika Mashariki
Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linaloshughulikia haki za Watoto, Elimu na Ushauri, Michael Gibbons akizungumza katika Mkutano wa kujadili Masuala ya haki za Watoto na Wanawake katika ukanda Afrika Mashariki
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto na Wanawake , Magreth Mussai akizungumza katika mkutano huo kwa Niaba ya Waziri wa Afya Wanawake jinsia na watoto.



Hivyo makala TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA

yaani makala yote TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tanzania-yawa-kinara-katika-mapambano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZANIA YAWA KINARA KATIKA MAPAMBANO YA UKATILI WATOTO BARANI AFRIKA"

Post a Comment