TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI Ikiungo :
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura katika Mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia cha Kinyerezi I.
Hivyo Kituo kitazimwa Saa 6:00 mchana hadi Saa 7:00 Mchana ili kupisha matengenezo.
Baadhi ya maeneo mbalimbali ya nchi katika kipindi hicho yatakosa umeme.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
http://ift.tt/2z4rvli /http://twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
Hivyo makala TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
yaani makala yote TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/taarifa-ya-matengenezo-ya-dharura-kituo.html
Related Posts :
MAJALIWA AFUNGUA MICHUANO YA AFCON U17
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mashindano ya AFCON U17 kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam … Read More...
SERIKALI KUANDAA SHERIA,KANUNI KATAZO LA MIFUKO YA PLASTIKI
Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Januari Makamba amesema kwamba kat… Read More...
WANAWAKE WATAKIWA KUTUMIA FURSA KUJIONGEZEA MASOKONa Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Wito umetolewa kwa Wanawake wanaofanya shughuli za uvuvi na kuchakata mazao ya uvuvi kutumia chama chao ku… Read More...
UTUMISHI YAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMAOfisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanza kutoa huduma katika ofisi zake kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini … Read More...
TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
KATIKA kuhakikisha nchi inaondokana na Maambukizo mapya ya ukimwi kwa vijana wadogo,Tume ya kudhibiti Uki… Read More...
0 Response to "TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I"
Post a Comment