title : TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO
kiungo : TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO
TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO
Ndugu zangu Wanahabari,
Assalaamu Alaykum (Amani ya Mwenye ezi Mungu iwe kwenu)
Napenda kuufahamisha umma wa kiislamu kuwa kufuatia kuanza mradi wa ujenzi wa msikiti wa Mohammed VI unaojengwa katika eneo la Bakwata makao Makuu Kinondoni Road.
Hivyo basi napenda kuchukua nafasi hii kuufahamisha umma kuwa ili kupisha mradi huo Bakwata Makao Makuu imehamisha ofisi zake na kuzipeleka katika mtaa wa Togo jengo linalotambulika kama TIGER TOWER na shughuli zote zinaendelea kama kawaida.
Mwisho kabisa tunaomba radhi kwa usmbufu wowote uliojitokeza katika kipindi hiki cha ujenzi.
Wabillahi TTaufiiq
USTAADH TABU KAWAMBWA
MKURUGENZI HABARI NA MAHUSIANO.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia wakati Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir (kulia) akitia saini Makubaliano ya ujenzi wa Msikiti kwenye eneo la BAKWATA, Kinondoni jijini Dar es salaam Oktoba 25,2016. PICHA NA MAKTABA
Hivyo makala TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO
yaani makala yote TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/taarifa-kwa-ummaofisi-za-bakwata.html
0 Response to "TAARIFA KWA UMMA:OFISI ZA BAKWATA ZAHAMIA KWA MUDA JENGO LA TIGER TOWER-MTAA WA TOGO"
Post a Comment