Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma

Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma
kiungo : Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma

soma pia


Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma




Mhe Jordan Rugimbana Mkuu wa mkoa wa Dodoma akikabidhiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka Taarifa ya Tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi lilifanyia mkoani Dodoma.

Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka ( MNEC ) akitoa Tamko la Vijana wazalendo la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )


Mhe Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana ajira na Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde akizungumza na Vijana wazalendo katika
Hafla fupi ya Kukabidhi tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi Mjini dodoma.



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana akizungumza na Vijana wazalendo mara baada ya kupokea taarifa ya Tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi










baadhi ya mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali za kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi. ( Picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )



Vijana wakiwa katika burudani.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )



Vijana wakiwa katika burudani.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )


Hivyo makala Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma

yaani makala yote Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/siasa-vijana-wazalendo-waunga-mkono.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siasa : Vijana Wazalendo Waunga Mkono juhudi za Rais Magufuli Dodoma"

Post a Comment