SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI
kiungo : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI

soma pia


SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (kulia), akimkabidhi kipeperushi cha taasisi hiyo, Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa, wakati uongozi wa shirika hilo, ulipotembelea taasisi hiyo, kuwaona wagonjwa na kutoa msaada wa fedha kwa watoto wawili wagonjwa wa moyo, kusaidia kufanyiwa upasuaji, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Posta Duniani leo Oktoba 10, 2017 jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa (wa tatu kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (wa tatu kulia), mfano wa hundi ya sh. milioni 4 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wawili wanaotarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo, wakati uongozi wa TPC, ulipotembelea taasisi hiyo katika kuadhimisha siku ya Posta Duniani, Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Daktari bingwa wa upasuaji moyo watoto, Dkt. Godwin Sharau na wa kwanza ni Meneja Mkuu Usimamizi Biashara wa TPC, Hassan Mwang'ombe.

Daktari bingwa wa upasuaji moyo watoto wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dkt. Godwin Sharau (wa tano kulia), akiwapatia maelezo baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati uongozi wa shirika ulipotembelea moja ya wodi za wagonjwa wa moyo kwenye taasisi hiyo leo jijini. Wa nne kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Deo Kwiyukwa. 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa, akiwa amembeba mtoto Delphina, ambaye ni mmoja wa watoto waliopatiwa msaada wa sh. milioni 2 kila mmoja na TPC kwa ajili ya matibabu ya upasuaji wa moyo, wakati uongozi wa shirika hilo, ulipotembelea kwenye wodi za wagonjwa wa moyo katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili Dar es Salaam leo katika kuadhimisha Siku ya Posta Duniani. 



Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI

yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/shirika-la-posta-tanzania-tpc-latoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI"

Post a Comment