title : Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo
kiungo : Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo
Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake (katikati) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez ,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Baadhi ya Mabalozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na wageni mbali m,bali na waalikwa wakiwa katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Hivyo makala Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo
yaani makala yote Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/sherehe-za-umoja-wa-mataifa-kutimiza.html
0 Response to "Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo"
Post a Comment