RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO

RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO
kiungo : RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO

soma pia


RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO

Wanafunzi wakifurahia msaada waliopewa kwa kunyosha juu vifaa vya kujifunzia 

Na MWandishi Wetu
Shirika lisilo la kiserikali la Rise charity limezindua kampeni iitwayo Mtoto kwanza Elimu ni Msingi Ambapo kampeni hiyo yenye dhumuni la kusaidia watoto wa shule za msingi kwa kuwachangia vifaa mbalimbali vitakavyo wawezesha katika Masomo . 
Kampeni hiyo imezinduliwa kwa mara ya kwanza katika mkoa wa Morogoro wilaya ya kilosa kijiji cha Ngoisani ndani ya shule ya Mabwegere ikiwa ni kampeni inayotarajiwa kuzunguka katika mikoa mbalimbali Tanzania. 

Aidha wakati wa uzinduzi huo ulioambatana na kutoa msaada wa vifaa vya kujifunzia Katibu wa kampeni hiyo Atley Timothy Kayuni amewaasa watoto kwa kusema
"Msaada huu umetolewa na watanzania na wapenda maendeleo hivyo muutumie vizuri na kwamanufaa ya upataji elimu bora ambayo itawasaidia mbeleni katika maisha hivyo mkazane ili kutimiza ndoto zenu" amesema Kayuni.

Naye Mmoja wa walimu katika shule hiyo Mwl. Mbapila amelishukuru shirika hilo kwa kuwakumbuka na kwenda kuwaona na kusema ni watu wachache sana wenyemoyo wa kujitolea hivyo wasichoke kutoa kwani shule ni nyingi na nyingi zinahari mbaya hususani vijijini.
 Katibu wa kampeni ya "mtoto kwanza elimu ni msingi" Atley T Kayuni akitoa somo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mabwegere iliyopo Kilosa Mkoani Morogoro kabla yakutoa msaada kwa wanafunzi hao.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Rise Media, Innocent Horomo akitoa msaada wa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi, ikiwa ni kampeni inayoendeshwa na Rise Charity iliyofanyika katika shule ya shule ya Mabwegere wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.
 Afisa habari wa Rise Media ambae pia ni mwakilishi wa Rise Charity akiteta jambo na wanafunzi wa shule ya msingi mabwegere wakati wa zoezi la uzinduzi wa kampeni ya Mtoto kwanza elimu ni msingi
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mabwegele wakiwa darasani wakati wa zoezi la kampeni ya Mtoto kwanza elimu ni msingi.


Hivyo makala RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO

yaani makala yote RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rise-charity-yatoa-msaada-wa-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RISE CHARITY YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA MOROGORO"

Post a Comment