title : RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA
kiungo : RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA
RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wanachama wa baraza la wafanyakazi wa shirika la Bima la taifa leo jijini Arusha mara alipoalikwa kama mgeni ramsi kufungua kikao cha baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa veta jijini Arusha jana
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe na viongozi wa baraza la wafanyakazi wa shirika la Bima la Taifa leo katika ukumbi wa Veta jijini hapa mara bada ya kufungua mkutano wa baraza hilo.
Baadhi ya wanachama wa baraza la wafanyazi wa shirika la Bima la Taifa wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika leo ndani ya chuo cha Veta jijini Arusha,
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akinyanyua mikono na viongozi wa baraza la wafanyakazi wa Bima la Taifa leo katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika chuo cha Veta jijini Arusha,kushoto kwake ni mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole.
Mwenyekiti wa bodi ya shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole aliyeshika kipaza sauti akizungumza katika mkutano wa baraza la wafanyakazi wa shirika hilo jana katika ukumbi wa veta jijini hapa,pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo
Hivyo makala RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA
yaani makala yote RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rc-gambo-afungua-kikao-mkakati-cha_20.html
0 Response to "RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA"
Post a Comment