Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge

Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge
kiungo : Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge

soma pia


Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: "Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!

Nilichogundua Mimi ni kwamba kumekuwa na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea kutoka.

Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi.

Na tunapenda na nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa kutupatanisha tunapogombana na si kutushabikia coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya tupoteze muda kulumbana badala ya kutumia huo muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa bidii tutangaze nchi yetu tunapoteza muda kulumbana,wenzetu wanaigeria wako mbali sana kwa sababu wanasapotiana sana!

Wasanii tuache bifu za kijinga na tutumie muda mchache tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa bidii tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii zetu,na naomba sana mashabiki wote msapoti mazuri tuyafanyayo" Ray C ameendelea kusema na kumwomba msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo : "Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best Zamaradimketema n hey dogo langu wemasepetu and my friend @new_kajala tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa watutambue bana!! 


Hivyo makala Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge

yaani makala yote Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ray-c-amuomba-msamaha-zamaradi-mketema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ray C Amuomba Msamaha Zamaradi Mketema Kisa Ruge"

Post a Comment