Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah.

Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah.
kiungo : Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah.

soma pia


Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah.


Katibu wa Bunge wa zamani, Dk Thomas Kashililah amesema, Rais Dkt John Pomebe Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge. 

Rais Magufuli jana Jumamosi alimteua Steven Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge, uteuzi ambao umeibua hoja kwamba sheria haikufuatwa. 

Dkt Kashililah akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, amesema kwa mujibu wa ibara ya 87(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano mamlaka ya uteuzi haikufanya kosa licha ya sheria ya Bunge kuelekeza utaratibu. 

Amesema, “Mamlaka ya uteuzi iko sahihi… unajua sheria haiko juu ya Katiba na Katiba iko juu ya sheria, hivyo Rais akiamua anaweza kufanya hilo, sheria haiwezi kumzuia,” amesema Dk Kashililah akisisitiza ibara ya 87 iko wazi. 

Ibara hiyo inasomeka: “Kutakuwa na Katibu wa Bunge ambaye atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye madaraka ya juu katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.” 

Dk Kashililah amesema: “Kama aliyeteuliwa angekuwa hayuko kwenye madaraka ya juu hapo sawa, lakini huyu aliyeteuliwa (Kagaigai) ni mtu senior kabisa serikalini na ana vigezo hivyo… kuna watu wanapotosha ukweli.”


Hivyo makala Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah.

yaani makala yote Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-john-magufuli-hakufanya-kosa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dkt John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge-Dkt Kashililah."

Post a Comment