RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO

RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO
kiungo : RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO

soma pia


RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO

JUMUIYA ya raia wa Comoro waishio Tanzania wameiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi nchini kusaidia kupatikana kwa ndugu yao Ammar Abdousoi Madou (26) aliyepotea na kutoweka kusikojulikana tangu tarehe 29 Juni mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo (jana) Jijini Dar es Salaam, Mwanasheria wa Jumuiya hiyo, Larifou Said alisema taarifa za kupotea kwa Madou ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala nchini Uganda ziliifikia familia yake tarehe 29 Juni, mwaka huu.

Said anasema familia ya Madou ilipokea taarifa za kushikiliwa kwa Madou na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha tarehe 27 Juni, mwaka huu kutoka kwa rafiki wa karibu wa Madou anaeishi Mkoani Arusha na baadae kuelezwa kuwa aliachiwa huru tarehe 29 Juni mwaka huu, ingawa tangu kipindi hawajaweza kuonana nae hadi sasa.

Anasema pamoja na familia hiyo kufanya jitihada mbalimbali za kufanikisha upatikanaji wa ndugu yao ikiwemo kufanya Mawasiliano ya mara kwa mara na vyombo vya usalama ikiwemo kuwasiliana na Idara ya upelelezi ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya kufahamu undani na sababu ya kukamatwa kwa Madou.

Mwanasheria wa Jumuiya ya Raia wa Comoro waishio Tanzania, Larifou Said akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu tukio la kupotea kwa Mwanafunzi Raia wa nchi hiyo Ammar Abdousoi Madou (pichani) ambapo waliliomba Jeshi la Polisi kusaidia upatikanaji wa ndugu yao huyo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO

yaani makala yote RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/raia-wa-comoro-waishio-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIA WA COMORO WAISHIO TANZANIA WALIOMBA JESHI LA POLISI KUSAIDIA KUPATIKANA KWA NDUGU YAO"

Post a Comment