title : PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI
kiungo : PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI
PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID.
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza.
“Mtakumbuka kwamba wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka, huadhimishwa wiki ya huduma kwa wateja duniani, na kwa mwaka huu, Mfuko umzindua ofisi mpya kule Pemba na Ukerewe ili kuboresha zaidi huduma zetu.”
Bi. Maghimbi alisema, sambamba na ufunguzi wa ofisi mpya,
hapa makao makuu mtaona tunaadhimisha kwa kushirikiana na washirika wetu kwenye utoaji huduma mbalimbali, ili kuwapatia fursa wananchama wetu ya kupata huduma kutoka taasisi hizo washirika.
Aliwataja washirika hao ambao wameweka mabanda ya kutoa huduma kuwa ni pamoja na Mfuo wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), benki za TPB, NMB, CRDB na Benki ya Walimu, (MCB).
Miongoni mwa wanachama wa PSPF waliofika kupatiwa huduma ni pamoja na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Dkt. Ibrahim Msengi ambaye alisifu huduma za haraka zitolewazo na maafisa wa PSPF.
“Kwa kweli mimi nimeridhishwa na huduma niliyopatiwa hapa, nimefika hapa kufuatilia malipo ya mirathi ya ndugu yetu, na nimepokelewa vizuri na kupatiwa huduma stahiki bila ya ucheleweshwaji, hili ni jambo jema na niwapongeze PSPF kwa uchapakazi wa namna hii.” Alisema Dkt. Msengi.
Hivyo makala PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI
yaani makala yote PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/pspf-yafungua-ofisi-mpya-pemba-na.html
0 Response to "PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA UTUMISHI DUNIANI"
Post a Comment