NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA.

NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA.
kiungo : NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA.

soma pia


NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA.

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma ataifuata timu yake mjini Shinyanga. 

Yanga inaondoka leo kwenda mjini Bukoba ikipitia Mwanza kwenda kuivaa Kagera Sugar. 

Ngoma na Thabani Kamusoko wanaachwa Dar es Salaam ili kuendelea na matibabu kutokana na kuwa majeruhi. 

Lakini Ngoma, atakwenda Shinyanga kwa kuwa atakuwa amerejea katika hali yake. 

Msemaji wa Yanga, Dismas Ten amesema baada ya mechi ya Jagera, watakwenda Shinyanga kuivaa Stand United ambako Ngoma ataungana nao. 

"Wakati tukiwa Shinyanga tutaungana na Ngoma. Daktari amesema atakuwa amerejea katika hali nzuri," alisema. 

Yanga inapaa na "pipa" kwenda mjini Mwanza baadaye Bukoba kwa ajili ya mechi dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba, wikiendi hii.


Hivyo makala NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA.

yaani makala yote NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ngoma-kuungana-na-yanga-shinyanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NGOMA KUUNGANA NA YANGA SHINYANGA."

Post a Comment