title : NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018
kiungo : NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018
NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo wakati akitangaza rasmi kuzindua Tamasha la 'Tulia Traditional Dances Festival 2018' linalofanyika kila mwaka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, pamoja na kuwashukuru wadhamini waliofanikisha Tamasha lililofanyika Mwezi Septemba mwaka huu Tukuyu. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Utamaduni, Lilly Beleko, aliyemwakilisha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo (kulia) ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi. Picha na Muhidin Sufiani
Hivyo makala NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018
yaani makala yote NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/naibu-spika-tulia-ackson-awashukuru.html
0 Response to "NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018"
Post a Comment