MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN

MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN
kiungo : MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN

soma pia


MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN

Kwa wale wakazi wote wa nchi ya Sweden na nchi jirani za skandinavia mtakuwa na usiku wa burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa kimataifa kutokea Sweden Tanzania  Uganda na nchi nyingine kadhaa  kwenye usiku wa kuitangaza nchi ya Tanzania kwa vivutio vyake vya utalii ikiwemo mlima mrefu barani Afrika Kilimanjaro.

Tunayofuraha kwamba msanii nyota wa mziki wa Bongoflaver Shetta atakuwepo kukuletea burudani kabambe ya mziki .
Usikose kuhudhuria ! 

Ni tarehe 14 Oktoba
Ukumbi ni kulturhuset Örebro
Järnvägsgatan 8 Örebro Sweden .
Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwezako.



Hivyo makala MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN

yaani makala yote MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/msanii-shetta-kunogesha-usiku-wa_8.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN"

Post a Comment