title : MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR
kiungo : MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR
MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akimkabidhi zawadi ya Kalamu yenye ujumbe wa namba ya dharura 114 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi
Hivyo makala MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR
yaani makala yote MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mkuu-wa-jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji.html
0 Response to "MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI THOBIAS ANDENGENYE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA MAPEMA LEO JIJINI DAR"
Post a Comment