Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.

Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.
kiungo : Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.

soma pia


Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa,Ndg. Amour Hamad Amour, akiweka jiwe la msingi katika miradi ya Maendeleo iliozinduliwa Kisiwani Pemba wakati wa mbio hizo na kumaliza mbio zake kisiwani Pemba leo na kuwasili Zanzibar kuendelea na mbio zake na kuzindua miradi ya Maendeleo katika sehemu mbalimbali za Unguja na kufikia kilele chake tarehe 14,/10/2017 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour, akizungumza na Wananchi mara baada ya kukaguwa miradi ya Wananchi huko Kiuyu Micheweni .

Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Amour Hamad Amour, akizinduwa kisanduku cha maoni ya kupambana dhidi ya Rushwa madawa ya Kulevya , Unyanyasaji wa Kijinsia huko katika Hospitali ya Cottage
Micheweni Pemba

Picha na Jamila Salim -MAELEZO PEMBA.


Hivyo makala Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.

yaani makala yote Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mbio-za-mwenge-wa-uhuru-wamaliza-mbio.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mbio za Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake."

Post a Comment